Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zaburi 71:20-21

Zaburi 71:20-21 NEN

Ingawa umenifanya nipate taabu, nyingi na chungu, utanihuisha tena, kutoka vilindi vya dunia utaniinua tena. Utaongeza heshima yangu na kunifariji tena.