Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zab 46:1-7

Zab 46:1-7 SUV

Mungu kwetu sisi ni kimbilio na nguvu, Msaada utakaoonekana tele wakati wa mateso. Kwa hiyo hatutaogopa ijapobadilika nchi, Ijapotetemeka milima moyoni mwa bahari. Maji yake yajapovuma na kuumuka, Ijapopepesuka milima kwa kiburi chake. Kuna mto, vijito vyake vyaufurahisha mji wa Mungu, Patakatifu pa maskani zake Aliye juu. Mungu yu katikati yake hautatetemeshwa; Mungu atausaidia asubuhi na mapema. Mataifa yalighadhibika, falme zikataharuki; Alitoa sauti yake, nchi ikayeyuka. BWANA wa majeshi yu pamoja nasi, Mungu wa Yakobo ni ngome yetu.

Soma Zab 46

Verse Images for Zab 46:1-7

Zab 46:1-7 - Mungu kwetu sisi ni kimbilio na nguvu,
Msaada utakaoonekana tele wakati wa mateso.
Kwa hiyo hatutaogopa ijapobadilika nchi,
Ijapotetemeka milima moyoni mwa bahari.
Maji yake yajapovuma na kuumuka,
Ijapopepesuka milima kwa kiburi chake.
Kuna mto, vijito vyake vyaufurahisha mji wa Mungu,
Patakatifu pa maskani zake Aliye juu.
Mungu yu katikati yake hautatetemeshwa;
Mungu atausaidia asubuhi na mapema.
Mataifa yalighadhibika, falme zikataharuki;
Alitoa sauti yake, nchi ikayeyuka.
BWANA wa majeshi yu pamoja nasi,
Mungu wa Yakobo ni ngome yetu.Zab 46:1-7 - Mungu kwetu sisi ni kimbilio na nguvu,

Mungu wa Yakobo ni ngome yetu.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Zab 46:1-7