Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zab 44:17-22

Zab 44:17-22 SUV

Haya yote yametupata, bali hatukukusahau, Wala hatukulihalifu agano lako. Hatukuiacha mioyo yetu irudi nyuma, Wala hatua zetu hazikuiacha njia yako. Hata utuponde katika kao la mbwa-mwitu, Na kutufunika kwa uvuli wa mauti. Ikiwa tumelisahau jina la Mungu wetu, Au kumnyoshea mungu mgeni mikono yetu; Je! Mungu hatalichunguza neno hilo? Maana ndiye azijuaye siri za moyo. Hasha! Kwa ajili yako tunauawa mchana kutwa; Tunafanywa kondoo waendao kuchinjwa.

Soma Zab 44

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Zab 44:17-22