Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zab 37:23-27

Zab 37:23-27 SUV

Hatua za mtu zaimarishwa na BWANA, Naye aipenda njia yake. Ajapojikwaa hataanguka chini, BWANA humshika mkono na kumtegemeza. Nalikuwa kijana nami sasa ni mzee, Lakini sijamwona mwenye haki ameachwa Wala mzao wake akiomba chakula. Mchana kutwa hufadhili na kukopesha, Na mzao wake hubarikiwa. Jiepue na uovu, utende mema, Na kukaa hata milele.

Soma Zab 37

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Zab 37:23-27