Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zab 33:18-19

Zab 33:18-19 SUV

Tazama, jicho la BWANA li kwao wamchao, Wazingojeao fadhili zake. Yeye huwaponya nafsi zao na mauti, Na kuwahuisha wakati wa njaa.

Soma Zab 33

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Zab 33:18-19