Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zab 25:12-15

Zab 25:12-15 SUV

Ni nani amchaye BWANA? Atamfundisha katika njia anayoichagua. Nafsi yake itakaa hali ya kufanikiwa; Wazao wake watairithi nchi. Siri ya BWANA iko kwao wamchao, Naye atawajulisha agano lake. Macho yangu humwelekea BWANA daima, Naye atanitoa miguu yangu katika wavu.

Soma Zab 25

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Zab 25:12-15