Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zab 19:7-8

Zab 19:7-8 SUV

Sheria ya BWANA ni kamilifu, Huiburudisha nafsi. Ushuhuda wa BWANA ni amini, Humtia mjinga hekima. Maagizo ya BWANA ni ya adili, Huufurahisha moyo. Amri ya BWANA ni safi, Huyatia macho nuru.

Soma Zab 19

Verse Image for Zab 19:7-8

Zab 19:7-8 - Sheria ya BWANA ni kamilifu,
Huiburudisha nafsi.
Ushuhuda wa BWANA ni amini,
Humtia mjinga hekima.
Maagizo ya BWANA ni ya adili,
Huufurahisha moyo.
Amri ya BWANA ni safi,
Huyatia macho nuru.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Zab 19:7-8