Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zab 145:2-4

Zab 145:2-4 SUV

Kila siku nitakuhimidi, Nitalisifu jina lako milele na milele. BWANA ndiye mkuu mwenye kusifiwa sana, Wala ukuu wake hautambulikani. Kizazi kwa kizazi kitayasifu matendo yako, Kitayatangaza matendo yako makuu.

Soma Zab 145

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Zab 145:2-4