Zaburi 145:2-4
Zaburi 145:2-4 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kila siku nitakuhimidi, Nitalisifu jina lako milele na milele. BWANA ndiye mkuu mwenye kusifiwa sana, Wala ukuu wake hauchunguziki. Kizazi kwa kizazi kitayasifu matendo yako, Kitayatangaza matendo yako makuu.
Shirikisha
Soma Zaburi 145Zaburi 145:2-4 Biblia Habari Njema (BHN)
Nitakutukuza kila siku; nitalisifu jina lako daima na milele. Mwenyezi-Mungu ni mkuu, astahili sifa nyingi; ukuu wake hauwezi kuchunguzika. Kizazi hata kizazi, sifa za matendo yako zitasimuliwa, watu watatangaza matendo yako makuu.
Shirikisha
Soma Zaburi 145