Zab 13:5-6
Zab 13:5-6 SUV
Nami nimezitumainia fadhili zako; Moyo wangu na uufurahie wokovu wako. Naam, nimwimbie BWANA, Kwa kuwa amenitendea kwa ukarimu.