Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zab 119:1-3

Zab 119:1-3 SUV

Heri walio kamili njia zao, Waendao katika sheria ya BWANA. Heri wazitiio shuhuda zake, Wamtafutao kwa moyo wote. Naam, hawakutenda ubatili, Wamekwenda katika njia zake.

Soma Zab 119

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Zab 119:1-3