Zaburi 119:1-3
Zaburi 119:1-3 Biblia Habari Njema (BHN)
Heri watu wanaoishi bila kosa, wanaozingatia sheria ya Mwenyezi-Mungu. Heri wanaozingatia matakwa yake, wanaomtafuta kwa moyo wao wote, watu wasiotenda uovu kamwe, bali daima hufuata njia zake.
Shirikisha
Soma Zaburi 119Zaburi 119:1-3 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Heri walio kamili njia zao, Waendao katika sheria ya BWANA. Heri wazitiio shuhuda zake, Wamtafutao kwa moyo wote. Naam, hawakutenda ubatili, Wamekwenda katika njia zake.
Shirikisha
Soma Zaburi 119Zaburi 119:1-3 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Heri walio kamili njia zao, Waendao katika sheria ya BWANA. Heri wazitiio shuhuda zake, Wamtafutao kwa moyo wote. Naam, hawakutenda ubatili, Wamekwenda katika njia zake.
Shirikisha
Soma Zaburi 119