Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zab 118:20-24

Zab 118:20-24 SUV

Lango hili ni la BWANA, Wenye haki ndio watakaoliingia. Nitakushukuru kwa maana umenijibu, Nawe umekuwa wokovu wangu. Jiwe walilolikataa waashi Limekuwa jiwe kuu la pembeni. Neno hili limetoka kwa BWANA, Nalo ni ajabu machoni petu. Siku hii ndiyo aliyoifanya BWANA, Tutashangilia na kuifurahia.