Zaburi 118:20-24
Zaburi 118:20-24 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Lango hili ni la BWANA, Wenye haki ndio watakaoliingia. Nitakushukuru kwa maana umenijibu, Nawe umekuwa wokovu wangu. Jiwe walilolikataa waashi Limekuwa jiwe kuu la pembeni. Neno hili limetoka kwa BWANA, Nalo ni ajabu machoni petu. Siku hii ndiyo aliyoifanya BWANA, Tutashangilia na kuifurahia.
Zaburi 118:20-24 Swahili Revised Union Version (SRUV)

Zaburi 118:20-24 Biblia Habari Njema (BHN)
Huu ndio mlango wa Mwenyezi-Mungu, watu waadilifu watapitia humo. Nakushukuru, ee Mungu kwa kunijibu; kwa sababu wewe ni wokovu wangu. Jiwe walilokataa waashi, limekuwa jiwe kuu la msingi. Hiyo ni kazi yake Mwenyezi-Mungu nayo ni ya ajabu sana kwetu. Hii ndiyo siku aliyoifanya Mwenyezi-Mungu; tushangilie na kufurahi.
Zaburi 118:20-24 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Lango hili ni la BWANA, Wenye haki ndio watakaoliingia. Nitakushukuru kwa maana umenijibu, Nawe umekuwa wokovu wangu. Jiwe walilolikataa waashi Limekuwa jiwe kuu la pembeni. Neno hili limetoka kwa BWANA, Nalo ni ajabu machoni petu. Siku hii ndiyo aliyoifanya BWANA, Tutashangilia na kuifurahia.
Zaburi 118:20-24 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Lango hili ni la BWANA, Wenye haki ndio watakaoliingia. Nitakushukuru kwa maana umenijibu, Nawe umekuwa wokovu wangu. Jiwe walilolikataa waashi Limekuwa jiwe kuu la pembeni. Neno hili limetoka kwa BWANA, Nalo ni ajabu machoni petu. Siku hii ndiyo aliyoifanya BWANA, Tutashangilia na kuifurahia.
Zaburi 118:20-24 Neno: Maandiko Matakatifu 2024 (NENO)
Hili ni lango la Mwenyezi Mungu ambalo wenye haki wanaweza kuliingia. Nitakushukuru, kwa kuwa ulinijibu, umekuwa wokovu wangu. Jiwe walilolikataa waashi, limekuwa jiwe kuu la pembeni. Mwenyezi Mungu ametenda hili, nalo ni la kushangaza machoni petu. Hii ndiyo siku Mwenyezi Mungu aliyoifanya, tushangilie na kufurahi ndani yake.