Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mit 4:7-13

Mit 4:7-13 SUV

Bora hekima, basi jipatie hekima; Naam, kwa mapato yako yote jipatie ufahamu. Umtukuze, naye atakukuza; Atakupatia heshima, ukimkumbatia. Atakupa neema kuwa kilemba kichwani; Na kukukirimia taji ya uzuri. Mwanangu, sikiliza, na kuzipokea kauli zangu; Na miaka ya maisha yako itakuwa mingi. Nimekufundisha katika njia ya hekima; Nimekuongoza katika mapito ya unyofu. Uendapo, hatua zako hazitadhiikika, Wala ukipiga mbio hutajikwaa. Mkamate sana elimu, usimwache aende zake; Mshike, maana yeye ni uzima wako.

Soma Mit 4

Verse Images for Mit 4:7-13

Mit 4:7-13 - Bora hekima, basi jipatie hekima;
Naam, kwa mapato yako yote jipatie ufahamu.
Umtukuze, naye atakukuza;
Atakupatia heshima, ukimkumbatia.
Atakupa neema kuwa kilemba kichwani;
Na kukukirimia taji ya uzuri.


Mwanangu, sikiliza, na kuzipokea kauli zangu;
Na miaka ya maisha yako itakuwa mingi.
Nimekufundisha katika njia ya hekima;
Nimekuongoza katika mapito ya unyofu.
Uendapo, hatua zako hazitadhiikika,
Wala ukipiga mbio hutajikwaa.
Mkamate sana elimu, usimwache aende zake;
Mshike, maana yeye ni uzima wako.Mit 4:7-13 - Bora hekima, basi jipatie hekima;
Naam, kwa mapato yako yote jipatie ufahamu.
Umtukuze, naye atakukuza;
Atakupatia heshima, ukimkumbatia.
Atakupa neema kuwa kilemba kichwani;
Na kukukirimia taji ya uzuri.


Mwanangu, sikiliza, na kuzipokea kauli zangu;
Na miaka ya maisha yako itakuwa mingi.
Nimekufundisha katika njia ya hekima;
Nimekuongoza katika mapito ya unyofu.
Uendapo, hatua zako hazitadhiikika,
Wala ukipiga mbio hutajikwaa.
Mkamate sana elimu, usimwache aende zake;
Mshike, maana yeye ni uzima wako.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mit 4:7-13

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha