Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mit 4:22-24

Mit 4:22-24 SUV

Maana ni uhai kwa wale wazipatao, Na afya ya mwili wao wote. Linda moyo wako kuliko yote uyalindayo; Maana ndiko zitokako chemchemi za uzima. Kinywa cha ukaidi ukitenge nawe, Na midomo ya upotovu uiweke mbali nawe.

Soma Mit 4

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mit 4:22-24