Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mit 4:19-21

Mit 4:19-21 SUV

Njia ya waovu ni kama giza; Hawajui ni kitu gani kiwakwazacho. Mwanangu, sikiliza maneno yangu; Tega sikio lako, uzisikie kauli zangu. Zisiondoke machoni pako; Uzihifadhi ndani ya moyo wako.

Soma Mit 4

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mit 4:19-21