Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mithali 4:19-21

Mithali 4:19-21 NEN

Lakini njia ya waovu ni kama giza nene; hawajui kinachowafanya wajikwae. Mwanangu, yasikilize kwa makini yale ninayokuambia; sikiliza kwa makini maneno yangu. Usiruhusu yaondoke machoni pako, yahifadhi ndani ya moyo wako

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mithali 4:19-21