Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mit 3:3-4

Mit 3:3-4 SUV

Rehema na kweli zisifarakane nawe; Zifunge shingoni mwako; Ziandike juu ya kibao cha moyo wako. Ndivyo utakavyopata kibali na akili nzuri, Mbele za Mungu na mbele ya mwanadamu.

Soma Mit 3

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mit 3:3-4

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha