Methali 3:3-4
Methali 3:3-4 Biblia Habari Njema (BHN)
Utii na uaminifu visitengane nawe. Vifunge shingoni mwako; viandike moyoni mwako. Hivyo utakubalika na kusifika, mbele ya Mungu na mbele ya wanadamu.
Shirikisha
Soma Methali 3Methali 3:3-4 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Rehema na kweli zisiachane nawe; Zifunge shingoni mwako; Ziandike juu ya kibao cha moyo wako. Ndivyo utakavyopata kibali na akili nzuri, Mbele za Mungu na mbele ya mwanadamu.
Shirikisha
Soma Methali 3