Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mit 2:20-22

Mit 2:20-22 SUV

Ili upate kwenda katika njia ya watu wema, Na kuyashika mapito ya wenye haki. Maana wanyofu watakaa katika nchi, Na wakamilifu watadumu ndani yake. Bali waovu watatengwa na nchi, Nao wafanyao hila watang’olewa.

Soma Mit 2

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mit 2:20-22

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha