Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mit 16:17-19

Mit 16:17-19 SUV

Njia kuu ya mwenye haki ni kujitenga na uovu; Yeye ashikaye njia yake huihifadhi nafsi yake. Kiburi hutangulia uangamivu; Na roho yenye kutakabari hutangulia maanguko. Afadhali kuwa na roho ya unyenyekevu pamoja na maskini, Kuliko kugawanya nyara pamoja na wenye kiburi.

Soma Mit 16

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mit 16:17-19