Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mk 11:22-24

Mk 11:22-24 SUV

Yesu akajibu, akamwambia, Mwaminini Mungu. Amin, nawaambia, Ye yote atakayeuambia mlima huu, Ng’oka ukatupwe baharini, wala asione shaka moyoni mwake, ila aamini kwamba hayo asemayo yametukia, yatakuwa yake. Kwa sababu hiyo nawaambia, Yo yote myaombayo mkisali, aminini ya kwamba mnayapokea, nayo yatakuwa yenu.

Soma Mk 11

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mk 11:22-24