Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mt 7:15-16

Mt 7:15-16 SUV

Jihadharini na manabii wa uongo, watu wanaowajia wamevaa mavazi ya kondoo, walakini kwa ndani ni mbwa-mwitu wakali. Mtawatambua kwa matunda yao. Je! Watu huchuma zabibu katika miiba, au tini katika mibaruti?

Soma Mt 7

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mt 7:15-16