Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mt 22:1-3

Mt 22:1-3 SUV

Yesu akajibu, akawaambia tena kwa mithali, akisema, Ufalme wa mbinguni umefanana na mfalme mmoja aliyemfanyia mwanawe arusi. Akawatuma watumwa wake wawaite walioalikwa kuja arusini; nao wakakataa kuja.

Soma Mt 22

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mt 22:1-3

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha