Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mt 20:17-19

Mt 20:17-19 SUV

Hata Yesu alipokuwa akipanda kwenda Yerusalemu, aliwachukua wale wanafunzi kumi na wawili faraghani; na njiani akawaambia, Angalieni, tunapanda kwenda Yerusalemu; na Mwana wa Adamu atatiwa mikononi mwa wakuu wa makuhani na waandishi; nao watamhukumu afe; kisha watampeleka kwa Mataifa wapate kumdhihaki, na kumpiga mijeledi, na kumsulibisha; na siku ya tatu atafufuka.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mt 20:17-19