Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mt 14:18-19

Mt 14:18-19 SUV

Akasema, Nileteeni hapa. Akawaagiza makutano waketi katika majani; akaitwaa ile mikate mitano na wale samaki wawili, akatazama juu mbinguni, akabariki, akaimega ile mikate, akawapa wanafunzi, wanafunzi wakawapa makutano.

Soma Mt 14

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mt 14:18-19