Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mathayo 14:18-19

Mathayo 14:18-19 NEN

Akawaambia, “Nileteeni hivyo vitu hapa.” Yesu akaagiza makutano wakae chini kwenye nyasi. Akaichukua ile mikate mitano na wale samaki wawili, akainua macho yake akatazama mbinguni, akavibariki na kuimega ile mikate. Kisha akawapa wanafunzi, nao wanafunzi wakawagawia makutano.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mathayo 14:18-19