Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Lk 8:40-42

Lk 8:40-42 SUV

Basi Yesu aliporudi mkutano ulimkaribisha kwa furaha, maana walikuwa wakimngojea wote. Na tazama, mtu mmoja akaja, jina lake Yairo, naye ni mtu mkuu wa sinagogi, akaanguka miguuni pa Yesu, akamsihi aingie nyumbani kwake; kwa kuwa binti yake yu katika kufa, ambaye ni mwana pekee, umri wake amepata miaka kumi na miwili. Na alipokuwa akienda makutano walimsonga.

Soma Lk 8

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Lk 8:40-42