Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Lk 18:7-8

Lk 18:7-8 SUV

Na Mungu, je! Hatawapatia haki wateule wake wanaomlilia mchana na usiku, naye ni mvumilivu kwao? Nawaambia, atawapatia haki upesi; walakini, atakapokuja Mwana wa Adamu, je! Ataiona imani duniani?

Soma Lk 18

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Lk 18:7-8

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha