Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Lk 15:1-2

Lk 15:1-2 SUV

Basi watoza ushuru wote na wenye dhambi walikuwa wakimkaribia wamsikilize. Mafarisayo na waandishi wakanung’unika, wakisema, Mtu huyu huwakaribisha wenye dhambi, tena hula nao.

Soma Lk 15

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Lk 15:1-2