Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Luka 15:1-2

Luka 15:1-2 NEN

Basi watoza ushuru na wenye dhambi wote walikuwa wanakusanyika ili wapate kumsikiliza Yesu. Lakini Mafarisayo na walimu wa sheria wakanungʼunika wakisema, “Huyu mtu anawakaribisha wenye dhambi na kula nao.”

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Luka 15:1-2