Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Lk 10:2-3

Lk 10:2-3 SUV

Akawaambia, Mavuno ni mengi, lakini watenda kazi ni wachache; basi mwombeni Bwana wa mavuno apeleke watenda kazi katika mavuno yake. Enendeni, angalieni, nawatuma kama wana kondoo kati ya mbwa-mwitu.

Soma Lk 10

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Lk 10:2-3

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha