Luka 10:2-3
Luka 10:2-3 Biblia Habari Njema (BHN)
Akawaambia, “Mavuno ni mengi, lakini wavunaji ni wachache. Kwa hivyo, mwombeni mwenye shamba atume wavunaji shambani mwake. Sasa nendeni; fahamuni kwamba ninawatuma nyinyi kama kondoo wanaokwenda kati ya mbwamwitu.
Shirikisha
Soma Luka 10Luka 10:2-3 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Akawaambia, Mavuno ni mengi, lakini wafanya kazi ni wachache; basi mwombeni Bwana wa mavuno apeleke wafanya kazi katika mavuno yake. Nendeni, angalieni, nawatuma kama wana-kondoo kati ya mbwamwitu.
Shirikisha
Soma Luka 10