Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Ayu 8:20-21

Ayu 8:20-21 SUV

Tazama, Mungu hatamtupa mtu mkamilifu, Wala hatawathibitisha watendao uovu. Bado atakijaza kinywa chako kicheko, Na midomo yako ataijaza shangwe.

Soma Ayu 8