Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Ayubu 8:20-21

Ayubu 8:20-21 NEN

“Hakika Mungu hamkatai mtu asiye na hatia, wala kuitia nguvu mikono ya mtenda mabaya. Bado atakijaza kinywa chako na kicheko, na midomo yako na kelele za shangwe.