Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yer 9:13-14

Yer 9:13-14 SUV

Naye BWANA asema, Ni kwa sababu wameiacha sheria yangu niliyoweka mbele yao, wala hawakuitii sauti yangu, wala kuenenda katika hiyo; bali wameenenda katika ushupavu wa mioyo yao wenyewe, na kuandamana na Mabaali, kama walivyofundishwa na baba zao.

Soma Yer 9