Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yeremia 9:13-14

Yeremia 9:13-14 NEN

BWANA akasema, “Ni kwa sababu wameiacha sheria yangu, niliyoiweka mbele yao: hawajaniheshimu mimi wala kufuata sheria yangu. Badala yake wamefuata ukaidi wa mioyo yao, wamefuata Mabaali, kama vile baba zao walivyowafundisha.”