Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Isa 54:7-8

Isa 54:7-8 SUV

Kwa kitambo kidogo nimekuacha; lakini kwa rehema nyingi nitakukusanya. Kwa ghadhabu ifurikayo nalikuficha uso wangu dakika moja; lakini kwa fadhili za milele nitakurehemu, asema BWANA, Mkombozi wako.

Soma Isa 54

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Isa 54:7-8