Isaya 54:7-8
Isaya 54:7-8 Biblia Habari Njema (BHN)
Nilikuacha kwa muda mfupi tu; kwa huruma nyingi, nitakurudisha. Kwa hasira nyingi nilikuficha uso wangu kwa kitambo, lakini kwa fadhili za milele nitakuonea huruma. Mimi Mwenyezi-Mungu Mkombozi wako, nimesema.
Shirikisha
Soma Isaya 54Isaya 54:7-8 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kwa kitambo kidogo nimekuacha; lakini kwa rehema nyingi nitakurudisha. Kwa ghadhabu ifurikayo nilikuficha uso wangu dakika moja; lakini kwa fadhili za milele nitakurehemu, asema BWANA, Mkombozi wako.
Shirikisha
Soma Isaya 54