Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Isaya 54:7-8

Isaya 54:7-8 NEN

“Kwa kitambo kidogo nilikuacha, lakini kwa huruma nyingi nitakurudisha. Katika ukali wa hasira nilikuficha uso wangu kwa kitambo, lakini kwa fadhili za milele nitakuwa na huruma juu yako,” asema BWANA Mkombozi wako.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Isaya 54:7-8