Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Isa 43:25-28

Isa 43:25-28 SUV

Mimi, naam, mimi, ndimi niyafutaye makosa yako kwa ajili yangu mwenyewe, wala sitazikumbuka dhambi zako. Unikumbushe, na tuhojiane; eleza mambo yako, upate kupewa haki yako. Baba yako wa kwanza alifanya dhambi, na wakalimani wako wameniasi. Kwa hiyo nitawatia unajisi wakuu wa patakatifu, nami nitamfanya Yakobo kuwalaani, na Israeli kuwa tukano.

Soma Isa 43