Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Isa 43:20-21

Isa 43:20-21 SUV

Wanyama wa kondeni wataniheshimu, mbweha pia na mbuni; kwa sababu nimewapa maji jangwani, na mito nyikani, ili kuwanywesha watu wangu, wateule wangu; watu wale niliojiumbia nafsi yangu, ili wazitangaze sifa zangu.

Soma Isa 43