Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mwa 50:24-25

Mwa 50:24-25 SUV

Yusufu akawaambia nduguze, Mimi ninakufa, lakini Mungu atawajia ninyi bila shaka, atawapandisha toka nchi hii, mpaka nchi aliyowaapia Ibrahimu, na Isaka, na Yakobo. Yusufu akawaapisha wana wa Israeli, akasema, Bila shaka Mungu atawajia ninyi, nanyi mtaipandisha huko mifupa yangu.

Soma Mwa 50

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mwa 50:24-25