Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mwanzo 50:24-25

Mwanzo 50:24-25 NEN

Ndipo Yosefu akawaambia ndugu zake, “Mimi ninakaribia kufa. Lakini kwa hakika Mungu atawasaidia na kuwachukueni kutoka nchi hii na kuwapeleka katika nchi aliyomwahidi kwa kiapo Abrahamu, Isaki na Yakobo.” Naye Yosefu akawaapisha wana wa Israeli na kuwaambia, “Hakika Mungu atawasaidia, nanyi ni lazima mhakikishe mmepandisha mifupa yangu kutoka mahali hapa.”

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mwanzo 50:24-25