Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mwa 49:8-9

Mwa 49:8-9 SUV

Yuda, ndugu zako watakusifu, Mkono wako utakuwa shingoni mwa adui zako. Wana wa baba yako watakuinamia. Yuda ni mwana-simba, Kutoka katika mawindo, mwanangu, umepanda; Aliinama akajilaza kama simba, Na kama simba mke; ni nani atakaye mwamsha?

Soma Mwa 49

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mwa 49:8-9

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha