Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mwa 2:22-24

Mwa 2:22-24 SUV

na ule ubavu alioutwaa katika Adamu BWANA Mungu akaufanya mwanamke, akamleta kwa Adamu. Adamu akasema, Sasa huyu ni mfupa katika mifupa yangu, na nyama katika nyama yangu, basi ataitwa mwanamke, kwa maana ametwaliwa katika mwanamume. Kwa hiyo mwanamume atamwacha baba yake na mama yake naye ataambatana na mkewe, nao watakuwa mwili mmoja.

Soma Mwa 2

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mwa 2:22-24