Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mwanzo 2:22-24

Mwanzo 2:22-24 NEN

Kisha BWANA Mungu akamfanya mwanamke kutoka kwenye ule ubavu aliouchukua kutoka kwa huyo mwanaume, akamleta huyo mwanamke kwa huyo mwanaume. Huyo mwanaume akasema, “Huyu sasa ni mfupa wa mifupa yangu na nyama ya nyama yangu, ataitwa ‘mwanamke,’ kwa kuwa alitolewa katika mwanaume.” Kwa sababu hii mwanaume atamwacha baba yake na mama yake na kuambatana na mkewe, nao watakuwa mwili mmoja.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mwanzo 2:22-24