Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mwa 18:18-19

Mwa 18:18-19 SUV

akiwa Ibrahimu atakuwa taifa kuu, hodari, na katika yeye mataifa yote ya dunia watabarikiwa? Kwa maana nimemjua ya kwamba atawaamuru wanawe, na nyumba yake baada yake waishike njia ya BWANA, wafanye haki na hukumu, ili kwamba BWANA naye akamtimizie Ibrahimu ahadi zake.

Soma Mwa 18

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mwa 18:18-19