Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mwa 11:6-7

Mwa 11:6-7 SUV

BWANA akasema, Tazama, watu hawa ni taifa moja, na lugha yao ni moja; na haya ndiyo wanayoanza kuyafanya, wala sasa hawatazuiliwa neno wanalokusudia kulifanya. Haya, na tushuke huko, tuwachafulie usemi wao ili wasisikilizane maneno wao kwa wao.

Soma Mwa 11

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mwa 11:6-7

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha